Shule ya sekondari Jifunzeni ni shule ya bweni inayomilikiwa na shirika la kiraia linalojulikana kwa jina la "Jifunzeni in Social Services Promotion (JSSP)", kwa kingereza linalopatikana Mbalizi, Mbeya.

Shule hii ilianzishwa kwa lengo la kutoa elimu bora katika ngazi ya kitaifa na kimataifa. Kwa sasa shule inatoa elimu kwa kidato cha kwanza hadi cha nne na kidato cha tano hadi cha sita.

Maono yetu
Kutoa elimu bora kwa jamii kwa gharama nafuu.

Malengo yetu
Kuhamasisha na kutoa; elimu ya sekondari, chou na ufundi, huduma za kijamii na kiroho kwa jamii.

Taarifa za Mawasiliano:
Anuani ya Posta:
Shule ya Sekondari Jifunzeni,
S.L.P 6209, Mbeya
Tanzania.

Namba za Simu:
+255 754 645 975 / +255 754 543 934

Barua pepe:
jssp2008@yahoo.com


Karibu Shule ya Sekondari Jifunzeni
 
 

Imetengenezwa na: Msuha Alexander
© 2025 Shule ya Sekondari Jifunzeni, Mbeya. Haki Zote Zimehifadhiwa