JUMATATU HADI IJUMAA
MUDA SHUGHULI / TUKIO WAHUSIKA
10:00 - 12:30 AL Kujisomea - Asubuhi Wanafunzi chini ya usimamizi wa makamu na mkuu wa Shule
12:30 - 01:00 AS Kunywa uji Wanafunzi wote
01:00 - 01:30 AS Usafi wa jumla Wanafunzi wakisimamiwa na vingozi wao.
01:30 - 02:00 AS Maombi na kukusanyika Wanafunzi wote na wafanyakazi
02:00 - 05:30 AS Darasani Vipindi vya Asubuhi Walimu na wanafunzi
05:30 - 05:50 AS Mapumziko - Chai Wanafunzi wote na wafanyakazi
05:50 AS - 08:30 MC Darasani - Vipindi vya mchana Wanafunzi wote na wafanyakazi
08:30 - 09:30 MC Chakula cha Mchana Wanafunzi wote na wafanyakazi
03:30 MC - 11:00 JN Darasani - masomo ya ziada Wanafunzi, walimu na Mtaaluma
11:00 - 12:00 JN Mtaala wa ziada Wanafunzi, wafanyakazi na mwalimu wa zamu
12:00 - 12:30 JN Chakula cha jioni / usiku Wanafunzi wote na wafanyakazi
12:30 JN - 01:00 US Ibada na maombi Wanafunzi wote
01:00 - 05:00 US Masomo - Kujisomea usku Wanafunzi wote na walimu
05:00 - 05:20 US Kuhakiki wanafunzi bwenini Walezi wa wanafunzi na walimu wa mabweni
05:20 US - 10:00 AL Mapumziko / Kulala Wanafunzi wote
JUMAMOSI
MUDA SHUGHULI / TUKIO WAHUSIKA
02:00 - 05:30 AS Majaribio ya wiki Wanafunzi na walimu
05:30 - 05:50 AM Muda wa chai Wanafunzi na walimu
05:50 AS - 07:00 MC Usafi Wanafunzi wote
07:00 - 07:30 MC Kuhakiki wanafunzi Wanafunzi, viongozi wa wanafunzi na Mwalimu wa zamu
07:30 - 03:30 MC Chakula cha mchana Wanafunzi, viongozi wa wanafunzi na Mwalimu wa zamu
03:30 MC - 11:00 JN Michezo Wanafunzi na Mwalimu wa Michezo
11:00 - 12:00 JN Mtaala wa ziada Wanafunzi na wafanyakazi
12:00 - 12:30 JN Chakula cha jioni / usiku Wanafunzi wote na wafanyakazi
12:30 JN - 01:00 US Ibada na maombi Wanafunzi wote
01:00 - 05:00 US Masomo - Kujisomea usiku Wanafunzi wote na walimu
05:00 - 05:20 US Kuhakiki wanafunzi bwenini Walezi wa wanafunzi na walimu wa mabweni
Shughuli za Kila Siku
 

 

Imetengenezwa na: Msuha Alexander
© 2025 Shule ya Sekondari Jifunzeni, Mbeya. Haki Zote Zimehifadhiwa