Maombi Yenye Mafanikio (Successful Prayers)
 
Mwandishi: Alexander A. Msuha, Simu: 0789 956 345
Maombi yenye Mafanikio ni kitabu kinacholenga kuimarisha uhusiano baina ya Mungu na mwanadamu kupitia maombi. Kitabu  
hiki kitakusaidia kutambua mambo makuu matano; Mungu unayepaswa kumwomba, mambo unayotakiwa kuomba, mahali  
panapofaa kwa ajili ya maombi, wakati wa kufanya maombi na namna ya kumwomba Mungu.

Kitabu hiki kina sura kuu tisa ambazo ni; ukweli kuhusu maombi, aina na kukua katika maombi, wakati unaofaa kumwomba  
Mungu, namna ya kuandaa maombi, jinsi ya kuomba, mambo yanayozuia maombi, majibu ya maombi, kufunga na kuomba, na  
maombi na kanisa la leo.

Kupitia kitabu hiki utatambua kuwa unapaswa kumwomba Mungu siku zote pasipo kukata tamaa na sio kumwomba Mungu  
wakati wa mahitaji au matatizo tu.
Luka 18:1 “Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.”
Ili kupata nakala ya kitabu, hiki tafadhali wasiliana na:
1.

Alexander A. Msuha,

Simu: 0757 080 630 / 0767 560 510 / 0789 956 345,

Email: kasoleka@gmail.com

Mahali: Manyara, Dodoma, Mbeya.

 

2.

Edson Mwakyusa (Mwanjusi),

Simu: 0768 419 079 / 0712 160 296,

Mahali: Mbeya, TAG Jerusalem Temple.

 

3.

Jackson Mapunda,

Simu: 0764 234 370,

Mahali: Mbinga, Songea

 

 

 

Imetengenezwa na: Msuha Alexander
© 2025 Shule ya Sekondari Jifunzeni, Mbeya. Haki Zote Zimehifadhiwa