Utaratibu wa Malipo ya Ada
Ada ya shule inalipwa kwa wamu nne, ingawa mzazi au mlezi anaweza kulipa mara moja au mbili kwa mwaka (mara moja kwa muhula). Jumla ya Ada yote kwa mwaka wa masomo ni TZS 1,700,000 (inayojumuisha TZS 800,000 ada ya shule na TZS 900,000 ada ya bweni).
Ulipaji wa Ada kwa Mwaka wa Masomo 2021/2022
Kwa mwaka wa masomo 2021/2022 ada italipwa kwa awmu nne kwa utaratibu ulioneshwa katika majedwali hapo chini:

Tarehe ya Malipo

Kiasi (TZS)

December 2021 / Januari 2022

550,000

Machi / Aprili 2021

350,000

Julai 2021

450,000

Septemba 2022

350,000

Total

1,700,000

Kidato cha Kwanza hadi cha Nne

Tarehe ya Malipo

Kiasi (TZS)

Julai 2021

550,000

Septemba 2021

350,000

Januari 2022

450,000

Machi / Aprili 2022

350,000

Total

1,700,000

Kidato cha Tano hadi cha Sita
 
 

Imetengenezwa na: Msuha Alexander
© 2022 Shule ya Sekondari Jifunzeni, Mbeya. Haki Zote Zimehifadhiwa