Kuanzishwa na Mahali Ilipo
Shule ya sekondari Jifunzeni ilianza January 2011. Shule hii ipo umbali wa kilometa mbili (Km 2) kutoka kituo cha daladala Ituha.
Masomo yanayofundishwa
Shule inafundisha masomo yafuatayo kwa kidato cha kwanza ha nne:
i.
Hisabati
ii.
Fizikia
iii.
Kemia
iv.
Elimu ya viumbe (Biolojia)
v.
Jiografia
vi.
Historia
vii.
Uraia
viii.
Kingereza
ix.
Kiswahili
x.
Biashara
xi.
Uhasibu
Aina za Wanafunzi
Wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne ni wale wanasajiliwa kidato cha kwanza na / au wale wanaohamia kutoka shule zingine kwa baadhi ya madarasa, kulingana hali halisi ya mwaka husika.
Kidato cha Kwanza hadi cha Nne
 

 

Imetengenezwa na: Msuha Alexander
© 2022 Shule ya Sekondari Jifunzeni, Mbeya. Haki Zote Zimehifadhiwa