Mahali Shule Ilipo

 
Shule ya sekondari Jifunzeni ipo eneo la Ituha, Kata ya Ilomba, Jiji la Mbeya, Tanzania. Shule ipo umbali wa kilometa nne na nusu (4.5km) Kutoka kituo cha mabasi / daladala Sae, barabara ya kwenda Tunduma.
 

Imetengenezwa na: Msuha Alexander
© 2022 Shule ya Sekondari Jifunzeni, Mbeya. Haki Zote Zimehifadhiwa