Shule ya sekondari Jifunzeni ina madarasa ya kutosha pamoja na maabara za kisasa zinazomwezesha mwanafunzi kufanza mazoezi na mitihani kwa vitendo hasa kw somo la:

  • Fizikia,

  • Kemia na

  • Biolojia

 

Tune mabweni ya kutosha na viwanja vya michezo kwa ili kuwawezesha wanafunzi kupata utulivu baada ya masomo.

 

Pia tuna maktaba ya Kisasa yenye vitabu vya kutosha kumwezesha mwanafunzi kufanya rejea na kupata ujuzi zaidi ya ule anaoupata darasani. 

 
Vifaa na Huduma
 

Imetengenezwa na: Msuha Alexander
© 2022 Shule ya Sekondari Jifunzeni, Mbeya. Haki Zote Zimehifadhiwa